Background Image

Kuhusu Academy

 • Ndoto yetu

  Ni kujitahidi katika kukuza huduma za kuwahudumia mahujaji na watu wa umrah ili ziwe wazi na zenye kupatikana kiurahisi na katika muda wote kupitia njia za mawasiliano, usanifu na njia za namba kwa njia tofauti tofauti mpya na lugha mbalimbali.

   

  Ujumbe wetu

  Tunajitahidi kupata kiwango kikubwa kinachowezekana kutoka kwa wale wenye kupenda kufahamu elimu ya ibada ya hijja na umrah, na kujitahid katika kusherehesha hukmu na wajibu za hijja na umrah, kupitia njia za kisasa, na lugha mbalimbali kupitia walinganiaji wa kiislamu katika hijja,umrah na ziara.

   

  Malengo yetu:

  -kusherehesha nguzo tano za uislamu na kukazia katika nguzo ya tano.

  - kueneza elimu na hukmu za hajj na umrah.

  - kutia nguvu nafasi ya mji mtukufu.

  - kupandikiza maana ya usawa na uwadilifu.

  - kutia nguvu hukmu za wepesi wa hijja na umrah.

  - kutia nguvu tamaduni za kuheshimu kanuni na maelekezo.

  - kutumia ufanisi katika kusherehesha elimu ya ibada ya hijja na umrah.