Background Image

KUADHIMISHA MJI MTUKUKUFU

Ibada ya hijja

    5.0

Ufupi

Karibuni semina hii yenye Anuani KUADHIMISHA MJI MTUKUKUFU katika mfululizo wa mafunzo ya ibada ya hijja na umra ambayo yanatolewa kwa utaratibu huo na muheshimiwa sheikh SHEYKH MBWANA AHMAD URARI mfululizo unao fungamana na masomo ya kielimu ambayo yanasherehesha elimu ya ibada ya hijja na umrah kupitia uelezaji mpya na mafunzo mapana yalio wazi na yenye kufahamika ili aweze mfatiliaji kujua hukumu za ibada ya hijja na umra kwa wepesi kwa idhini ya ALLAH mtukufu.Tunamuomba ALLAH atunufaishe sote kwa kazi hii yenye Baraka. Na itadhihiri kwenu nyinyi anuani ambayo imewekwa makhususi kwa ajili ya kutoa shahada ya kumaliza kuhudhuria semina hii ya kielektonia baada ya kushiriki kwenu na kufaidika katika semina hio.

Muhtasari wa Kozi
Vyuo vikuu
1
Masomo
5
Muda
26 Dakika
Lugha
Kiswahili
Wafadhili wengine
Hati ya Kukamilisha

Michango