Background Image

habari zetu

NDOTO MPYA YA KUSHEREHESHA IBADA YA HIJJA NA UMRAH

NDOTO MPYA YA KUSHEREHESHA IBADA YA HIJJA NA UMRAH

3:25 am Friday 5th Dhu al-Qi'dah 1438 H

AMEWEKA WAZI  SHEIKH  TWALAL  BIN  AHMAD  AL- AQIL mshauri  waziri wa mambo ya kiislam ,daawa,na uongofu kwamba fikra ya kuanzishwa kwa ACADEMIA YA IBADA YA HIJJA NA UMRA imeanza kwa  mtazamo muheshimiwa waziri wa mambo ya kiislamu,daawa na uongofu sheikh  SWALEH BIN ABDUL AZIZI BIN  MUHAMMADI  ALU –SHEIKH.ambae ameelekeza kuinua maendeleo ya kazi za wizara, na mpangilio wa kuwafundisha mahujaji khaswa .na kwahakika ulitiliwa mkazo mtazamo huu kwa usaididzi wa muheshimiwa naibu waziri DR.TAWFIQ  BIN ABDU AZIZI AS- SUDAIRY ,ambae alielekeza umuhimu wa kuzingatia njia mpya ili lueneza elimu na miongoni mwa njia hizo ni kufundisha  kwa njia ya mbali.

 

Na kwa hakika ili anza huduma ya academia kutekeleza maelekezo hayo ,na ikatoa mafundisho yake ya mwanzo kwa lugha nane muhimu zinatakiwa kulingama na tafiti rasmi,ili kiwe chombo cha ufundishaji maalumu katika uwanja wa kuwa fundisha mahujaji na kueneza elimu ya ibada ya hijja na umra kwa kupitia njia ya sayansi na tecnologia na kubobea katika kusherehesha elimu ya ibada ya hijja na umra ili kujitahidi katika kutia nguvu utambuzi na kueneza uelewa na kuweka maelekezo yanayo ambatana na ibada ya hijja na umra na hukuma za nguzo ya tano,na ili ziwe huduma za academia  zina patikana kwa mahujaji na watu wa umra mwaka mzima masaa ishirini na nne ili wafaidike na hududma hio mahujaji wa ndani nanjena raia na wageni wote,na wale wenye kupenda kujua hukumu za hijja na umra na ziara katika nchi tofauti tofauti ulimwengunikupitia mitandao ya mawasiliano ya kijamii na internet na simu za kisasa,na kupitia vifaa vya kupakatwa vyenye aina tofauti tofauti.

 

Akawashukuru AL-AQILI    watu wenye ubora  walinganizi ambao wameshiriki katika kuleta mada za kielimu na masomo,nao ni katika wanachuoni na walinganizi waliobobea katika kuwaelimisha mahujaji,na wana uzoefu mkubwa katika kusherehesha elimu ya kisheria na ufundishaji wa academia ,na wao ni walinganiaji wakubwa katika mafunzo ya kiisala mu katika hijja na umra na ziara ndani ya nchi ya SAUDI ARABIA,wanashirikiana pamoja na kikundi katikawalinganizi wan je ya SAUDI ARABIA, na wenye kutambulika miongoni mwa wale walio soma katika vyuo vikuu vya SAUDI ARABIA, na wakapata shahada za kielimu katika viwanja vya sheria ,itikadi,na fiqhi.