Background Image

habari zetu

ACADEMIA YA MAFUNZO IBADA YA HIJJA NA UMRA NA KUFAULU KWA WASHIRIKI

ACADEMIA YA MAFUNZO IBADA YA HIJJA NA UMRA NA KUFAULU KWA WASHIRIKI

3:25 am Friday 5th Dhu al-Qi'dah 1438 H

Ameweka wazi muheshimiwa raisi mwenye mamlaka ya academia ya mafunzo ya ibada ya hijja na umra sheikh TWALAL BIN AHMADI AL- AQILI kwamba academia ya mafunzo ya ibada ya hijja na umra imetekelezwa kwa mchango mkubwa kutoka kwa muheshimiwa waziri wa mabo ya kiislamu ,ulinganizi , na uongofu.sheikh SWALEH BIN ABDUL AZIZI  BIN MUHAMMADI  ALU-SHEIKH ,pia vilevile kutoka kwa muheshimiwa  DR.TAWFIQ BIN ABDUL AZIZI AS –SUDAIRI,akitilia nguvu kwamba muheshimiwa waziri alielekeza kumaliza kazi hii kwa haraka kwa lugha zinazo hitajika ili iwe kazi hii ya kufundisha kitecnologia iwe ni ya kwanza ilio husika na kusherehesha elimu ya ibada ya hijja na umra ,kwaajili ya kueneza mafunzo yoote na maelekezo yote yanayo husuibada na hukumu za hijja na umra na ziara,kwa ajili ya kuzisambaza huduma hizi kwa mahujajina watu wa umra na wengineo miongoni mwa wale wanao penda kujua elimu inayo ambatana na nguzo ya tano ya uislamu kutoka mabara na nchi toafauti tofauti za kiislamu na mitandao ya internet na kupitia vifaa vya kisasa..

 

Na hakika walishiriki katika kuleta mada za kielimuna masomo  kikundi cha wanachuonina walinganiaji walio bobea katika upande huu na wenye uzoefu wa muda mrefu,na  wakufunzi katika elimu za kisheria ,na katika wanao tegemewa miongoni mwa  jopo la walimu wa kiislamu katka hijja na umra na ziara katika nchi ya SAUDI ARABIA,kwa kuongezea kikundi cha walinganizi kutoka  nje ya SAUDI ARABIA na wanao bobea miongoni  mwa wale walio somea katika vyuo vya SAUDI ARABIA na wakapata shahada za kielimu katika uwanja wa  sheria ,itikadi,na fiqhi.

Na  imefikia ya walio shiriki katika kusomesha watu 40 waliobobea ,walijitahidi kuandaa zaidi ya masomo 1000 na halaqa za television kwa lugha nane za kimataifa kupitia mtiririko unaofungamana kutoka katika utaratibu ambao unaletwa kwenu na wizara ili kuwaelimisha waislamu njia sahihi inayo afikiana na sunnah ya mtume katika safari hii yenye Baraka.

 

Na aka tangaza mshauri  wa waziri wa mambo ya kiislamu ulinganiaji,na uongofu sheikh AL-AQILI kwamba TAASISI YA SAYYIDI HASSANI ABBASI SHERBITLI YA MAMBO YA KHERI ni mshirki wa kudhamini kazi hii ilio nzuri,nao ni moja kati ya taasisi za nchini zinazo dhamini makundi na vikosi vya ulinganiaji kwa sura ya wazi,hili linatia nguvu umuhimu wa kusaidiana kwa kushirikiana ambako kuna hakikisha matokeo yanayo takiwa.

 

Na akatanguliza AL-AQILI shukrani zake na heshima zake kwa raisi wa taasisi na jopo la idara zake juu ya kusaidiana kwaona wizara kunako endelea ,bila kusahau mawasiliano yenye matunda na mkuu wa kitengo mtendaji al-ustadhi ABDULATWIFU AN-NAQLI.

 

Na akamaliza  AL-AQILI neno lake kwa kutilia mkazo ya kwamba kazi ya pamoja ina athari nzuri na matokeo mazuri,hali ya kua wizara kwa maelekezo kutoka muheshimiwa waziri na muheshimiwa naibu waziri-ime tia mkazo juu ya umuhimu wa kufanya kazi kwa moyo wa pamoja na kurefusha daraja la mawasiliano na makundi yote ili kuhakiki ukamilifu unao takiwa kwa ajili ya kukuza kazi ya ulinganiajina kuiendeleza,na kueneza maana ya QURANI TUKUFU NA SUNNAH ZA MTUME na kutia nguvu misingi ya elimu ya kisheria na ufahamu wake na historia ya mwenendo wa mtume kwa njia za kisasa na lugha za kimataifa ,na kutia nguvu maana ya usawa na uadilifu kati ya waislamu,na ufahamu wa kuhurumiana na kusaidiana,na kupendana,na mafungamano,na kunyooka,na adabu za kisheria,na tabia nzuri.